close

Users are responsible for videos and contents posted on NineTube.

Up next

Madai ya unyanyasaji dhidi ya TB Joshua wa Nigeria.

0 Views· 08 January 2024
user337
user337
8 Subscribers
8

Makumi ya waumini wa zamani wa Kanisa la Synagogue Church of all Nations - watano Waingereza - wanadai kufanyiwa ukatili, ikiwa ni pamoja na ubakaji na utoaji mimba kwa lazima, uliofanywa na marehemu TB Joshua wa Nigeria.

Madai ya unyanyasaji katika eneo la siri la Lagos yamedumu kwa takriban miaka 20.

BBC AfricaEye imechunguza, itakueletea makala nzima hivi karibuni

#bbcswahili #upekuziwabbc #BBCAfricaEye
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channe....l/UCoerKKIKIMlDYaVFS

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next